top of page

ndayavugwa
HUDUMA HII NIKAMA IFUATAVYO
Mtu aliye umwa na nyoka either kwenye mguu au chini ya kisigino >1)Haraka iwezekanavyo kama amwshafika kwenye ofisiyangu au offis yetu tunampatia dawa dawa na pia tunasisitiza kuwa .Endapo atakuwa yuko mbali na huduma zetu basi asiste kusaidiwa kwa njia kama hii )Afungwe kitambaachini ya mguu au sehem hiyo alikong'atwa
pi mimi kama mhudum napenda kushauri popote pale utakapo patia tatizo kama ni sehem yoyote tafadhari fika kwenye ofsi zetu haraka iwezekanavyo
SEHEM YA PILI 2
Sehem hii ya pili nisehem ambayo inelezea
maswara ya huduma yetu kwakweli bila kupoteza mda huduma hii ni huduma nzuri sana lakini kulingana na mazingira na mchafuko wa nchi yetu kuna baadhi ya vifaa mbali mbali havipo kutokana na hali hiyo basi tuna kwama utoa hudumahii katika ofisi zetu ila tuna mshukuru MUNGU kuona huduma hii inaenda vizuri Wako didasee _abdallah mkazi wa IHUNGO KARIBUNI SANA IHUNGO
HUDUMA YAKWANZA KWA WATU WALIOUMWA NA NYOKA
bottom of page